Habari
Siku 360 za Msulwa kwenye ukuu wa wilaya Morogoro
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 15, 2021 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msulwa na Mkurugenzi ...Rais aiagiza BoT kujiandaa na matumizi ya sarafu za kimtandao (cryptocurrency)
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Benki Kuu ya Tanzania kujiandaa na matumizi ya safaru za kimtandao (cryptocurrecy/blockchain), kwani huenda ikafika wakati mabadiliko ...Serikali kuja na mpango wa kuirejesha Tanzanite Tanzania
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kutoridhika na usimamizi wa uchimbaji na uuzaji wa madini ya Tanzanite unavyofanyika, hivyo ameaigiza Wizara ...34,000 wapandishwa vyeo Mambo ya Ndani
Rais Samia Suluhu Hassan ameruhusu kupandishwa vyeo maafisa, wakaguzi na askari 34,106, wa vyombo vya ulinzi na Uusalama vilivyopo chini ya Wizara ...Wambura atuma salama kwa wahalifu
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, DCI Camilius Wambura amesema Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu yeyote atakayeendelea kujihusisha na vitendo vya ...Kauli iliyomponza Chalamila
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 11, 2021 ametangaza kutengua uteuzi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila ...