Habari
Serikali yazuia halmashauri kutumia wafanyabiashara kutoa chanjo kwa mifugo
Serikali imeziagiza halmashauri kutotumia wafanyabiashara kuto chanjo kwa mifugo na kwamba halmashauri hizo zivunje mitakata ambayo zimeingia kwa ajili ya zoezi hilo. ...Walemavu wageuzwa kitega uchumi jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu, Ummy Ndeliananga amekemea vikali vitendo vya udhalilishaji watu wenye ulemavu ikiwemo suala watu ...Serikali yaahidi kuwawezesha vijana wabunifu wa TEHAMA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali itaweka mazingira wezeshi ya kuendeleza vijana wabunifu wa Teknolojia ...Baba wa Waziri Mkuu wa Uingereza aomba uraia wa Ufaransa kufuatia Brexit
Baba mzazi wa Waziri wa Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema yupo kwenye mchakato wa kuomba hati ya kusafiria (passport) ya Ufaransa ...Kalemani: Kukata umeme hovyo kutamfukuzisha mtu kazi
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amelionya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuacha tabia ya kukata kata umeme hovyo. Akizungumza na maafisa ...