Habari
Serikali yapiga marufuku makongamano ya mkesha wa mwaka mpya maeneo ya wazi
Siku moja kabla ya kuumaliza mwaka 2020, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepiga marufuku makongano au mikutano ya mkesha wa ...Cheti cha chanjo ya Corona huenda kikahitaji utakapohitaji kusafiri kwenda mataifa mbalimbali
Wakati chanjo ya virusi vya corona ikiendelea kutolewa katika nchi mbalimbali duniani, watu wanahamu ya kuona wakiweza tena kufanya mambo mbalimbali kama ...Serikali yawataka wachimbaji wadogo kuchenjulia dhahabu sehemu moja
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara amewataka wachimbaji wadogo kuwa na sehemu ya pamoja na kuchenjua ...Waziri Jafo asema anataka halmashauri zijitegemee na kulipa watumishi mishahara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo ...Kegel, aina ya mazoezi yanayosaidia kuimarisha tendo la ndoa
Kuna aina mbali mbali za mazoezi lakini kuna baadhi ambayo huwa na manufaa ya kiafya inapokuja katika kujamiiana au tendo la ndoa ...ATCL leo imezindua safari za ndege kwenda mkoani Geita
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) leo Januari 9, 2021 imezindua safari safari za ndege kwenda mkoani Geita. Hayo yamesema na Mtendaji Mkuu ...