Habari
Utafiti: Athari zinazoweza kutokana na kuoga kila siku
Je! Huwa unaoga kila siku? Kama jibu lako ni ndiyo, basi jua kuwa hauko peke yako. Katika maeneo mengi duniani watu huoga ...Uganda: Polisi ammwagia pilipili machoni mgombea Urais wa upinzani
Mgombea wa urais nchini Uganda kupitia chama cha Forum for Democratic Change (FDC), Patrick Amuriat, amenyunyuziwa pilipili machoni kiasi cha kulazwa hospitalini. ...Rais Magufuli aeleza alivyomuonya mkurugenzi kabla ya kumtumbua leo
Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus Kuuli. Rais Magufuli ametengua ...Ndugulile: Watanzania hawana imani na vifurushi/bando za simu za mkononi
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ameipa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa ...China: Mwandishi ahukumiwa jela miaka 4 kwa kuripoti kuhusu corona Wuhan
Mahakama nchini China imemhukumu kifungo cha miaka minne jela mwandishi wa habari wa kujitegemea baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuhatarisha ...Asilimia 30 ya fedha zinazokusanywa na bandari za Tanzania zinapotea
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika Bandari za Dar ...