Habari
Wanaume watatu wakamatwa na watu watano wasiojulikana Tarime
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya limesema limeanza uchunguzi wa kuwabaini watu watano wasiojulikana ambao wanatuhumiwa kuwakamata watu watatu wakazi ...Siku ya Kondomu Duniani kuadhimishwa kwa mara ya kwanza nchini
Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP), Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Shirika ...Binti auawa baada ya kwenda kumtembelea mpenzi wake Nairobi
Familia moja katika Kijiji cha Kirima, eneo la Ngaru, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya imepatwa na mshtuko mkubwa baada ya binti yao ...DRC yaifungulia kesi Rwanda Mahakama ya Haki za Binadamu, kesi kusikilizwa leo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefungua kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye ...Saudi Arabia yaweka vizuizi vya visa kwa nchi 14
Saudi Arabia imeweka sheria mpya za visa kwa wasafiri kutoka nchi 14, ikiwemo Nigeria kuanzia Februari 1, 2025 ambapo wasafiri kutoka nchi ...