Habari
Miili ya watu watatu yafukuliwa nyumbani kwa mganga wa kienyeji, saba wakamatwa
Jeshi la Polisi linawashikilia watu saba akiwemo mganga wa kienyeji, Nkamba Kasubi kwa kosa la mauaji ya watu watatu ambao wanadaiwa kuuawa ...Nafasi 306 za Ajira Serikalini
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 8 POST Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Newala, More Details 2024-09-02 Login to Apply POST: MTENDAJI WA KIJIJI III ...Rais atoa rai maeneo ya Kizimkazi yatumike vizuri kwa manufaa ya kizazi kijacho
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wakazi wa maeneo ya Kizimkazi kuyatumia vizuri maeneo yao wanayoyamiliki kwa uangalifu na wasiyatoe bila ...Amuua mpenzi wake, akatakata viungo na kuvitupa
Jeshi la Polisi linamshikilia Abdalla Miraji Mussa (42) mkazi wa Sinza kwa Remmy, Dar es Salaam kwa kumuua mwanamke aitwaye Ezania Kamana ...Rais Samia asisitiza JWTZ kuendelea kuwa Jeshi la mfano Afrika
Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuendelea ...Waafrika 17 akiwemo Mtanzania waokolewa kwenye biashara ya ukahaba India
Polisi nchini India wamewaokoa wanawake 17 wanaotokea Afrika Mashariki kutoka katika biashara ya ukahaba katika wilaya ya Hyderabad baada ya kupata taarifa ...