Habari
Namna viongozi wa Afrika wanavyowaandaa watoto wao kuwa Rais
Siasa za Afrika zimechagizwa kwa kiasi kikubwa na mfungamano wa kifamilia na hii inadhihirika zaidi namna viongozi waliopo madarakani wanavyowaandaa watoto wao ...Mabadiliko Makamanda wa Polisi: Muroto astaafu, Muliro ahamishiwa Dar
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi, ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi. Katika mabadiliko ...Rais Samia atengua uteuzi wa Azza Hamad
Rais Samia Suluhu Hassa ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu. Bi. Azza atapangiwa majukumu ...Mawaziri, wabunge kujifunza kucheza gofu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameahidi kuwashawishi mawaziri na wabunge kujifunza mchezo wa gofu kufuatia ombi la Balozi wa Ufaransa ...Rais Samia apangua safu ya makatibu tawala wa mikoa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa, kuwahamisha baadhi na ...Watendaji wizara ya fedha wasimamishwa kwa kujilipa posho kwa kutekeleza majukumu yao
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili ...