Habari
SGR Dar-Moro kuanza kutumika Agosti 2021
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa majaribo ya treni ya abiria yanatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi ...Sababu ya wananchi kupata ‘unit’ za umeme tofauti kwa kiwango sawa cha fedha
Watumiaji mbalimbali wa umeme wamekuwa wakilalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na utofauti unaojitokeza katika viwango vya ‘unit’ za umeme wanazopata ...Serikali kuyafungulia magazeti ya Mawio, TanzaniaDaima, Mseto na Mwanahalisi
Serikali imeeleza kuwa inaendelea na mchakato wa kuyafungilia magazeti manne yaliyofungiwa ambayo ni Mseto, Mwanahalisi, Mawio na TanzaniaDaima ili yaweze kuendelea kuuhabarisha ...Sakata la LUKU: Waziri Mkuu awaongezea adhabu wafanyakazi TANESCO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kusimamishwa kazi kwa Meneja wa TEHAMA wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Lonus Feruzi na wasaidizi wake ...COVID19: Rais Samia ataka nchi za Afrika kusamehewa madeni
Kutokana na athari za COVID19 katika uchumi wa nchi mbalimbali hasa za Afrika, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa ...