Habari
Mafunzo urushaji drones kuanza Januari 4, wahitimu kutumia vyeti kuomba leseni
Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (Civil Aviation Training Centre) kilichopo jengo la zamani la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius ...Jukumu la kampuni za simu katika kuwajengea Watanzania ujuzi wa kidijitali
Rufina Ndekao, DIT Inafahamika wazi kuwa teknolojia imebadili maisha ya binadamu na mabadiliko mengi zaidi bado yanaendelea kuja. Tanzania ni moja ya ...Waziri Mkuu atoa siku 7 walionunua magari kwa gharama kubwa wajieleze
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo Disemba 17, 2020 kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ...Orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2021
Wanafunzi 759,706 (91.1%) kati ya wanafunzi 759,737 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2021. Taarifa hiyo imetolewa leo Disemba 17, 2020 na ...Kituo cha daladala Mwenge kuanza kutumika Machi 2021
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha ujenzi wa kituo cha ...NYAKUA FRIJI, MASHINE YA KUFULIA NA SMART TV KUTOKA INFINIX
Dar es Salaam, 16/12/2020-Kampuni ya simu Infinix imezindua rasmi Kampeni ya Christmas na Mwaka mpya inayofahamika kama HIT THE JACPOT BE A ...