Habari
Rais Magufuli awalilia waliofariki mkoani Singida
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia za watu 14 waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Disemba ...Serikali yatoa kibali kufungwa ‘cable cars’ Mlima Kilimanjaro
Serikali ya Tanzania imeruhusu ufungwaji wa magari yanayotumia nyanya (cable cars) katika Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika ili kuchochea utalii. ...Binti amshitaki mchumba wake mahakamani kwa kuchelewa kumuoa
Mwanamke raia wa Zambia amemshitaki mchumba wake kwa madai kuwa amesubiri kwa miaka nane amuoe, lakini bado ndoto hiyo haijafanikiwa, gazeti la ...Prof. Shukrani Manya ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Madini
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Prof. Shukrani Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini. Prof. Manya pia ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge ...Godbless Lema apewa hifadhi nchini Canada
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema ameelekea nchini Canada alikopewa hifadhi ya ...Rais Magufuli kuteua Naibu Waziri mpya wa Madini baada ya wa awali kushindwa kuapa
Rais wa Tanzani, Dkt. Magufuli amesema atateua Naibu Waziri mwingine wa madini baada ya Francis Ndulane, aliyekuwa ameteuliwa kushika wadhifa huo kushindwa ...