Habari
Kenya yaondoa sharti la vibali vya biashara kwa Watanzania
Serikali ya Kenya imewaruhusu Wafanyabiashara wa Tanzania kuingia nchini Kenya na kuwekeza bila sharti la kuwa na viza ya biashara, ikiwa ni ...Talaka tano zilizogharimu fedha nyingi zaidi duniani
Mei 3 mwaka huu, bilionea Bill Gates ameingia katika kitabu cha historia baada ya kutangaza kuwa yeye na mkewe, Melinda Gates wamefikia ...Rais Samia alifumua Shirika la Posta
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi watatu wa Shirika la Posta Tanzaniakuanzia Aprili 30, 2021. Kwanza, ametengua uteuzi wa Mwenyekiti ...Rais Obasanjo atoa pole kwa vifo vya Rais Mkapa na Dkt. Magufuli
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino mkoani ...Corona yakwamisha nyongeza ya mishahara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa ameshindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama wengi walivyotarajia kutokana na athari za #COVID19, ugonjwa ...