Habari
Wizara ya Afya yawataka wananchi kuvaa barakoa inapolazimika
Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahahdari dhidi ya COVID19 ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa pale inapolazimika, kutokuwa na hofu ...Dkt. Hosea: Mungu alitaka nigombee Urais TLS
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Edward Hosea amesema kuwa anaamini Mungu alimtaka kugombea nafasi hiyo ili aweze kukivusha chama ...Wakamatwa wakidaiwa kuuza mishikaki ya nyama ya Mbwa Msamvu
Waswali husema, ukimchungaza sana bata hutamla, lakini wakati mwingine ni heri uchungeze ili ujue unachokula ni nini. Watu watatu wamekamatwa baada ya ...Maeneo 12 ambayo hutakiwi ku-overtake gari jingine
1) DARAJANI: Epuka kupita gari jingine kwenye daraja, kwani linakubana unakuwa huna sehemu nyingine ya kuchepukia zaidi ya kutumbukia mtoni endapo gari ...Rais Samia asamehe wafungwa 5,001
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa wakikabiliwa na adhabu ya vifungo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wa ...Waziri Aweso awasweka rumande vigogo watano Mwanza
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kuwaweka mahabusu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mjini Mwanza (MWAWASA), Meneja ...