Habari
Kimbunga Jobo chapungua kasi ghafla
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imesema kuwa Kimbunga Jobo kipo umbali wa 200km kutoka Kisiwa cha Mafia na kwamba kimepungua kasi ...Tulia: Ofisi ya Spika haina taarifa za Wabunge waliofukuzwa CHADEMA
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa ofisi ya Spika wa Bunge haina taarifa za wabunge wa viti ...Taarifa mpya ya TMA kuhusu Kimbunga Jobo
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Dkt. Agnes Kijazi amesema inatarajiwa kuwa Aprili 25, 2021 kimbunga Jobo kitakuwa kimetua maeneo ...Uteuzi wa viongozi uliofanywa na Rais Samia usiku huu
Rais wa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Amemteua Prof. Henry Fatael Mahoo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ...