Habari
Serikali: Tunafanya mashauriano na Marekani isizuie Watanzania kuingia Marekani
Serikali imesema imeanza kufanya mashauriano na Marekani ili kujua maeneo yanayohitaji kufanyiwa maboresho, hususani kwenye masuala ya kikonseli ili raia wa Tanzania ...Madiwani mkoani Kilimanjaro waagizwa kurejesha vishikwambi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Yusufu Nzowa amesema amepokea barua inayoelekeza Madiwani wote wa Mkoa huo kurejesha vitendea kazi vyote, vikiwemo ...Tyler Perry ashitakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia
Mwigizaji na mwandishi wa filamu, Derek Dixon, amemshtaki Tyler Perry kwa madai ya unyanyasaji wa kijinsia katika kesi iliyowasilishwa wiki iliyopita katika ...Nafasi mbalimbali za ajira serikalini
POST: ASSISTANT AIRCRAFT MARSHALLER(RE-ADVERTISED) – 2 POSTEmployer: Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)More Details 2025-06-20 Login to Apply POST: ASSISTANT LECTURER (ACCOUNTING) – 1 POSTEmployer: Chuo Kikuu ...Mwanachuo ashikiliwa kwa mauaji ya mwenzake kisa ulevi
Polisi mkoani Mbeya wanamshikilia Emilian Duzu (21) mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kwa ...









