Habari
Polisi wamwamuru mwandishi wa Mwananchi kubembeleza mawe kama mtoto
Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Zanzibar, Jesse Mikofu jana alishambuliwa na askari wa vikosi ...Rais Samia ateua viongozi wa taasisi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali kama ifuatavyo; Amemteua Dkt. Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ...Msigwa: Kipindi cha mpito kwa waandishi kinaisha Desemba 2021
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewakumbusha wanahabari kuwa kipindi cha mpito kinachowataka wawe na ...Waziri Ndugulile atoa siku saba hoja za CAG zijibiwe
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameziagiza taasisi zilizo chini ya wizara yake kutoa majibu ya hoja za ...Wasanii kutumia akaunti zao za YouTube bure
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara hiyo, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya ...