Habari
Wasanii kutumia akaunti zao za YouTube bure
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara hiyo, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya ...Shambulio la waasi lamuua Rais wa Chad
Rais wa Chad, Idriss Derby amefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita. Taarifa za kifo ...Dkt. Tulia: Milioni 50 kila kijiji haipo, Rais Samia hakuahidi
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewataka wabunge kutombebesha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mzigo ambao hastahili kwamba ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi nane
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Amemteua Dkt. Richard J. MASIKA ...Tanzania kuwa nchi yenye miradi mingi ya Benki ya Dunia
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Mara Warwick amesema kwa sasa benki hiyo imeidhinisha miradi yenye thamani ya USD bilioni 4.9 (sawa ...