Habari
JPM: Sikutengeneza barabara za Kibamba kwa sababu sikuombwa
Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa hakutengeneza barabara za Jimbo la Kibamba mkoani Dar es Salaam kwa sababu hakuombwa kufanya hivyo, na ...Wizara ya Afya yatangaza kanuni 8 za kujikinga na #COVID19
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kusimamia na kusisitiza utekelezaji wa tahadhari ya magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza na ...Rais Magufuli awataka Watanzania kujikinga na Corona
Rais Dkt. Magufuli amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona kama zinavyoelekezwa na wataalamu wa afya na amefafanua kuwa ...WHO: Watanzania wengi wanaokwenda nje ya nchi wana COVID19
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameitaka Tanzania kutumia njia zinazoaminika kuwa zinazuia maambukizi ya virusi vya corona, itoe takwimu ...Wanaosambaza taarifa za vifo mitandaoni kushughulikiwa
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba ameviagiza vyombo husika kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wale wote wanaozua taharuki kwa ...Taarifa ya TMA kuhusu kuanza mvua za masika
Mamlaka ya Hali ya Hewa imetangaza taarifa ya utabiri wa hali ya hewa kwa msimu wa mvua za Masika mvua zinatarajiwa kuwa ...