Habari
Tifu TV yafungiwa sakata la urushaji matangazo msiba wa Maalim Seif
Tume ya Utangazaji Zanzibar imeifungia kituo cha televisheni, Tifu TV, kwa siku saba kwa madai ya kukiuka mwongozo wa urushaji matangazo kipindi ...Historia fupi ya Seif Sharif Hamad (1943-2021)
Seif Sharif Hamad alizaliwa Oktoba 22, 1943 huko Kisiwani Pemba. Alipata elimu ya msingi kuanzia 1950 hadi 1957 katika shule za Uondwe ...Sabaya aagiza polisi kukamata wasiotoa/dai risiti
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiagiza kamati ya ulinzi na usalama kusaidiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwakamata ...Apata faida TZS bilioni 6 kwa kuuza chanjo bandia ya Corona
China inamshikilia kiongozi wa kundi moja ambaye ametengeneza mamilioni ya fedha kwa kuuza chanjo bandia ya virusi vya corona. Mtu huyo aliyefahamika ...TECNO KUDUMISHA UPENDO NA WATEJA WAKE
Katika kusherekea msimu huu wa sikukuu ya VALENTINES kampuni ya simu pendwa TECNO yazindua promosheni kabambe, aidha promotion hii itahusisha kwenda kupata ...Kenya: Mbunge aingia bungeni na bastola
Taharuki ilizuka ndani ya Bunge la Kenya jana baada ya mbunge mmoja kuingia na bastola ndani ya ukumbi wa bunge wakati kikao ...