Habari
Kenya: Mbunge aingia bungeni na bastola
Taharuki ilizuka ndani ya Bunge la Kenya jana baada ya mbunge mmoja kuingia na bastola ndani ya ukumbi wa bunge wakati kikao ...Dkt. Abbasi: Chanjo za Corona zikithibitika, Tanzania itazitumia
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa Tanzania haijadharau chanjo ya corona lakini pia haiwezi kuwa sehemu ya ...Serikali haitatangaza ikipandisha mishahara ya watumishi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewatoa hofu watumishi wa umma kuhusu maslahi yao na kubainisha kuwa serikali haitatangaza hadharani itakapopandisha mishahara yao. Ameyasema ...Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6
Deni la Taifa (Tanzania) limefikia TZS trilioni 59 hadi kufikia Disemba 2020 ambapo ni sawa na ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na ...Mwijage aitaka serikali iijenge sekta binafsi ya Tanzania
Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage ameitaka serikali kuijenga sekta binafsi ya Tanzania ili itumike katika kukuza uchumi na kuboresha maisha ya ...Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni jijini Dodoma Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa ...