Habari
Infinix kusherehekea msimu wa wapendanao na wateja wake
Mwaka 2021 unazidi kuwa mwaka mzuri kwa wateja na wadau wote wa simu za Infinix. Hii inajidhihirisha kwa kufuatilia mwenendo wa kampuni ...Dkt. Gwajima: Hakuna ugonjwa wa ajabu Kata ya Ifumbo, Mbeya
Wizara ya afya imekanusha taarifa za uwepo wa ugonjwa usiofahamika wala janga lolote la kiafya katika Kata ya Ifumbo, Wilaya ya Chunya ...Prof. Kabudi: Awamu ya pili ya Rais Magufuli atajikita kuboresha sekta binafsi
Serikali imesema katika kipindi cha muhula wa pili wa miaka mitano ya Rais Dkt. Magufuli itajikita zaidi katika diplomasia ya uchumi, kuimarisha ...Wasifu wa Brigedia Jenerali Ezra Ndimgwango aliyefariki
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametangaza kifo cha Afisa Mkuu Brigedia Jenerali, Ezra Wilson Ndimgwango (Mstaafu), kilichotokea ...Wasafi TV kurudi hewani Machi 1, 2021
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekiruhusu kituo cha televisheni, Wasafi TV, kuanza tena kurusha matangazo kuanzia Machi Mosi 2021, baada ya kupunguza ...Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) ...