Habari
Rais Magufuli ataka mabadiliko mfumo wa mahakama
Rais Magufuli ametoa wito kwa mahakama na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya mabadiliko ya sheria na mifumo ya mahakama iliyorithiwa kutoka ...Kodi za mabango na majengo zarudishwa halmashauri
Serikali imetoa muongozo mpya ambapo kuanzia sasa kodi za majengo, ushuru wa mabango na vitambulisho vya wajasiriamali vitasimamiwa na wakurugenzi wa halmashauri, ...Waziri wa Maji, Juma Aweso anusurika kutumbuliwa na Rais Magufuli
Rais Dkt. Maguful amesema kuwa endapo Waziri wa Maji, Juma Aweso asingewafukuza kazi wakandarasi wa mradi wa maji katika Wilaya ya Mwanga, ...Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi aliyenunua gari la gharama kubwa
Rais Dkt. Magufuli ametangaza kumsamehe Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Kahama, Anderson Msumba aliyekuwa akikabiliwa na tuhuma za kutumia fedha nyingi za ...