Habari
Serikali yaagiza vifaa vya kukagua magari kutoka Ujerumani
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amesema kuwa serikali imeagiza vifaa vya kisasa nje ya nchi kwa ajili ya kufanya ukaguzi ...Waziri Mpango: Atakayevujisha siri za serikali atajutia ukaidi wake
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amelitaka baraza la wafanyakazi wizara hiyo kufanyakazi kwa kufuata misingi na kuwa hatasita kumchukulia ...Jafo apendekeza stendi ya Mbezi Luis kupewa jina la Rais Magufuli
Waziri wa TAMISEMI, Seiman Jaffo ameelekeza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis inaanza ...Corona: Wasafiri kutoka Tanzania na DRC wazuiwa kuingia Uingereza
Uingereza imetangaza kuzuia wasafiri kutoka Tanzania na Jamhuri ya Kidemojrasia ya Congo kuingia nchini humo kuanzia leo Ijumaa (Januari 22, 2021) ikiwa ...Wizara ya Mambo ya Nje yasema haina taarifa za vikwazo vya Marekani
Siku mbili baada ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo baadhi ya maafisa wa Tanzania kwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, Wizara ...Mbunge wa CCM afariki dunia India
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa ya ...