Habari
Rais Magufuli atunukiwa nishani ya lugha ya Kiswahili
Rais Dkt. Magufuli ametunukiwa Nishani ya Juu ya Shaaban Robert ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake katika kuikuza na kuiendeleza lugha ...Askari akutwa amejinyonga kwenye nyumba aliyokuwa anaijenga
Askari wa jeshi la polisi aliyekuwa anafanya kazi katika kituo cha Polisi Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani namba E 6472 Yusuph Said ...Rais Magufuli amualika Waziri Mkuu wa Uingereza nchini, aomba aje na misaada
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemualika Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson kuitembelea Tanzania kutokana na kuzidi kuimarika kwa uhusiano kati ya ...Day Care zatakiwa kuwa na wataalam wa malezi ya watoto
Wamiliki wa Vituo vya Malezi kwa Watoto (Day Care Centres) wamewatakia kuwa na wataalam wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya ...Mchanganyiko wa maji ulivyosababisha vifo vya samaki Ziwa Victoria
Serikali imeeleza kuwa mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka 2021, kulitolewa taarifa ya vifo vya samaki aina ya sangara katika Ziwa Victoria nchini ...