Habari
NECTA yatangaza matokeo kidato cha nne 2020
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne, kidato cha pili, mtihani wa maarifa (QT) na ...Rais Magufuli awaponge Dkt. Mwinyi na Maalim Seif kwa kutanguliza maslahi ya Taifa
Rais Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kutanguliza maslahi ya nchi mbele na kuhakikisha amani inaendelea ili wananchi waendelee na shughuli zao na ...Askari waliofukuzwa kazi Arusha washitakiwa kwa uhujumu uchumi
Askari Polisi watatu na raia watano akiwemo mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite jijini Arusha, Lucas Mdeme (46) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ...Serikali yaagiza kuchukuliwa hatua wafanyabiashara ambao hawajaboresha mashine za EFD
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Dkt Edwin Mhede amesema mamlaka hiyo haitaongezi muda wa wafanyabiasha kuboresha mashine za EFD ...TBS yatakiwa kuweka mazingira mazuri kwa sekta binafsi kufanya biashara
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amewataka wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kufanya kazi kwa weledi ili kusaidia na ...Rais Magufuli: Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Chato ijengwe kwa pamoja, sio kwa awamu
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufili ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya ...