Habari
Kijana ashikiliwa kwa kupanga njama za kumuua mama yake
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Seven Kipara (38) mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua mama yao mzazi, ...Naibu Inspekta wa Polisi Kenya akaa pembeni kupisha uchunguzi
Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi nchini Kenya, Eliud Lagat amekaa pembeni kupisha uchunguzi juu ya kifo cha mwanablogu Albert Ojwang aliyefariki akiwa ...Museveni aruhusu Mahakama ya Kijeshi kuhukumu raia
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesaini marekebisho ya Sheria ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda ((UPDF Amendment Act, 2025), yanayoruhusu ...Shilingi ya Tanzania yaimarika na kuwa miongoni mwa sarafu zinazofanya vizuri zaidi duniani
Shilingi ya Tanzania imeimarika kwa kasi na kuwa miongoni mwa fedha zinazofanya vizuri zaidi duniani kutokana na kuongezeka kwa mapato ya Dola ...Israel yawaua viongozi wakuu wa jeshi la Iran
Mkuu wa Jeshi la Iran, na afisa wa kijeshi mwenye cheo cha juu zaidi nchini humo, Mohammad Bagheri ameuawa katika mashambulizi makubwa ...Tume ya Ulaya yatangaza orodha ya nchi 10 zenye hatari kubwa ya uhalifu wa kifedha
Tume ya Ulaya imetangaza sasisho jipya la orodha ya nchi za tatu (zilizo nje ya Umoja wa Ulaya) zinazochukuliwa kuwa na hatari ...









