Habari
Askari waliofukuzwa kazi Arusha washitakiwa kwa uhujumu uchumi
Askari Polisi watatu na raia watano akiwemo mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite jijini Arusha, Lucas Mdeme (46) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ...Serikali yaagiza kuchukuliwa hatua wafanyabiashara ambao hawajaboresha mashine za EFD
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Dkt Edwin Mhede amesema mamlaka hiyo haitaongezi muda wa wafanyabiasha kuboresha mashine za EFD ...TBS yatakiwa kuweka mazingira mazuri kwa sekta binafsi kufanya biashara
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amewataka wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kufanya kazi kwa weledi ili kusaidia na ...Rais Magufuli: Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Chato ijengwe kwa pamoja, sio kwa awamu
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufili ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya ...Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete awahimiza wananchi kuunga mkono ujenzi bandari kavu ya Kwala
Na ANDREW CHALE, CHALINZE. MBUNGE Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewahimiza wananchi wa Kitongoji cha Kisogo, Kijiji cha Visezi Kata ya Vigwaza ...TCRA na TRA zatakiwa kukusanya mapato ya wasanii kupitia mtandao
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,, Innocent Bashungwa ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutumia teknolojia katika ukusanyaji mapato kwa njia ...