Habari
Waziri Ummy atoa miezi mitatu vifungashio vya plastiki kuondolewa sokoni
Serikali imetoa miezi mitatu kwa wenye shehena ya vifungashio visivyokidhi viwango vya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) vinaondolewa sokoni. Agizo hilo limetolewa ...Kocha Sven: Mo Dewji na Barbara walinishawishi sana nibaki
Aliyekiwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Sven Vandebroeck amesema kuwa ameachana na klabu hiyo ili kupata uwiano wa muda sawa kati ya ...WhatsApp yaleta vigezo vipya vya lazima, wanaovikataa kuzuiwa kuitumia
Mtandao wa WhatsApp imewataka watumiaji wake, takribani bilioni mbili duniani kote, kukubali vigezo (terms) vipya vya kutumia programu hiyo, ambavyo vitaiwezesha programu ...Waziri wa Mambo ya Nje wa China kuzindua chuo cha VETA wilayani Chato
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wangi Yi anatarajiwa kuzindua Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (VETA) katika Wilaya ya Chato ...Wizara ya Afya: Gharama ya kupima COVID-19 nchini ni TZS 231,000
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa toleo jipya la muongozo upimaji maambukizi ya viusi vya corona (COVID19) ...Bei ya petroli yapungua, dizeli na mafuta ya taa zapanda
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei ...