Habari
Serikali yaahidi kuwawezesha vijana wabunifu wa TEHAMA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali itaweka mazingira wezeshi ya kuendeleza vijana wabunifu wa Teknolojia ...Baba wa Waziri Mkuu wa Uingereza aomba uraia wa Ufaransa kufuatia Brexit
Baba mzazi wa Waziri wa Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema yupo kwenye mchakato wa kuomba hati ya kusafiria (passport) ya Ufaransa ...Kalemani: Kukata umeme hovyo kutamfukuzisha mtu kazi
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amelionya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuacha tabia ya kukata kata umeme hovyo. Akizungumza na maafisa ...Serikali yapiga marufuku makongamano ya mkesha wa mwaka mpya maeneo ya wazi
Siku moja kabla ya kuumaliza mwaka 2020, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepiga marufuku makongano au mikutano ya mkesha wa ...Cheti cha chanjo ya Corona huenda kikahitaji utakapohitaji kusafiri kwenda mataifa mbalimbali
Wakati chanjo ya virusi vya corona ikiendelea kutolewa katika nchi mbalimbali duniani, watu wanahamu ya kuona wakiweza tena kufanya mambo mbalimbali kama ...Serikali yawataka wachimbaji wadogo kuchenjulia dhahabu sehemu moja
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara amewataka wachimbaji wadogo kuwa na sehemu ya pamoja na kuchenjua ...