Habari
Waziri Jafo asema anataka halmashauri zijitegemee na kulipa watumishi mishahara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo ...Kegel, aina ya mazoezi yanayosaidia kuimarisha tendo la ndoa
Kuna aina mbali mbali za mazoezi lakini kuna baadhi ambayo huwa na manufaa ya kiafya inapokuja katika kujamiiana au tendo la ndoa ...ATCL leo imezindua safari za ndege kwenda mkoani Geita
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) leo Januari 9, 2021 imezindua safari safari za ndege kwenda mkoani Geita. Hayo yamesema na Mtendaji Mkuu ...Utafiti: Athari zinazoweza kutokana na kuoga kila siku
Je! Huwa unaoga kila siku? Kama jibu lako ni ndiyo, basi jua kuwa hauko peke yako. Katika maeneo mengi duniani watu huoga ...Uganda: Polisi ammwagia pilipili machoni mgombea Urais wa upinzani
Mgombea wa urais nchini Uganda kupitia chama cha Forum for Democratic Change (FDC), Patrick Amuriat, amenyunyuziwa pilipili machoni kiasi cha kulazwa hospitalini. ...Rais Magufuli aeleza alivyomuonya mkurugenzi kabla ya kumtumbua leo
Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus Kuuli. Rais Magufuli ametengua ...