Habari
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma mkoani Dodoma. Kabla ya uteuzi huo, Bw. ...Rais wa Mali atangaza kujiuzulu baada ya mapinduzi ya kijeshi
Rais wa Mali ametangaza kuwa kujjiuzulu nafasi hiyo kuepusha umwagaji damu saa kadhaa baada ya kuwekwa kuzuizini na jeshi la nchi hiyo ...Polisi wafunga akaunti za benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu
Jeshi la Polisi limefunga akaunti zote za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) katika Benki ya CRDB hatua iliyopelekea ...Athari za kuwasha taa za ‘hazard’ kwenye makutano ya barabara na
Mara kwa mara tumekutana na madereva ambao wakiwa wamesimama kwenye alama za waenda kwa miguu (Zebra Cross) kupisha watu wavuke au wakiwa ...TCRA yavichukulia hatua vituo 8 vya habari kwa kukiuka sheria
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kupitia Kamati ya Maudhui imevichukulia hatua mbalimbali vituo tisa vya habari kwa kukiuka sheria na kanuni za utangazaji ...