Habari
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu urushwaji wa maudhui ya vyombo vya nje
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevitaka vyombo vya habari vya ndani ya nchi vyenye leseni ya kurusha matangazo kuhakikisha vina kibali cha ...Bodi ya Mikopo yataja sababu kuu tatu za wanafunzi kukosa mikopo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema kuwa wanafunzi wengi hususani wanaotoka katika kaya maskini wamejikuta wakikosa mikopo ...Wafungwa miaka 30 kwa kujaribu kumuua Rais mpya wa Burundi
Mahakama nchini Burundi imewahukumu wanaume wawili na mwanamke mmoja kifungo cha miaka 30 jela kwa kutaka kumuua Rais wa nchi hiyo, Evariste ...Zimbabwe kuwalipa fidia trilioni 8 wazungu walioporwa ardhi
Serikali ya Zimbabwe inatarajiwa kutumia $3.5 bilioni (TZS 8.1 trilioni) kuwalipa faidi raia wazungu waliopokonywa ardhi na kupewa wazawa wa taifa hilo. ...