Habari
Wasira: Hakuna uhuru wa kutoa maoni kwa kutukanana mitandaoni
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema hakuna uhuru au demokrasi ya kutukana mitandaoni na wala hakuna uhuru usio ...Serikali: Deni la Serikali linahimilika
Serikali imesema hadi Aprili 2025, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 107.70 ambapo kati ya kiasi hicho, deni la nje ni shilingi ...Tanzania kuwa mwenyeji Tuzo za Dunia za Utalii WTA
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tuzo za Dunia za Utalii (World Travel Awards – WTA) kwa Afrika na Kanda ya Bahari ya Hindi ...Afisa Habari wa KenGold ahukumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kulipa faini ya shilingi milioni 1 au kwenda jela miaka miwili Afisa Habari na Mawasiliano wa ...Mambo 5 yanayoweza kubadilisha maisha yako
Watu wengi huamini kuwa mafanikio au furaha hutokana na vitu vikubwa, kama utajiri, umaarufu au kuwa na bahati. Lakini kuna mambo madogo ...Marekani yaitaka Rwanda kuondoa majeshi yake DRC
Marekani imeitaka Rwanda kuyaondoa majeshi yake kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kabla ya pande hizo mbili kutia saini makubaliano ya amani. ...









