Habari
Sumaye: Mimi ndiye niliyeshawishi kuanzishwa Maonesho ya Wakulima
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema kuwa yeye ndiye aliyeshawishi kuanzishwa kwa Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nanenane) wakati akiwa Naibu ...Msumbiji yahusishwa kwenye mlipuko uliotokea mjini Beirut
Serikali ya Msumbiji imesema haikuwa inafahamu chochote kuhusu meli iliyokuwa imebeba mzigo wa ammonium nitrate inayodaiwa kusababisha mlipuko mjini Beirut, Lebanon na ...Wabunge Kenya wataka kulipwa pensheni TZS 2 milioni kwa mwezi
Wabunge nchini Kenya wamepitisha muswada wa sheria unaopendekeza wabunge 375 kulipwa pensheni ya mwezi, TZS 2.2 milioni. Muswada huo unapendekeza kuwa wabunge ...Marekani yamuwekea vikwazo mfanyabiashara wa Zimbabwe
Marekani imemuwekea vikwazo mfanyabiashara mkubwa wa Zimbabwe kwa tuhuma kujihusisha na rushwa na kutoa msaada kwa maafisa wa juu wa serikali. Wizara ...