Habari
Mahakama ya Rufaa yabatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu kesi ya dhamana za wahujumu uchumi
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetengua uamuzi wa awali wa Mahakam Kuu na kusema kuwa makosa yaliyochini ya kifungu cha 148(5) cha ...Polepole: CHADEMA imemdhulumu TID kauli ya ‘Ni Yeye’
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamemzulumu mwanamuziki TID kwa ...Rais wa Zimbabwe aapa kuwashughulikia wapinzani na wanaharakati
Sintofahamu umeendelea kutawala nchini Zimbabwe huku pande mbalimbali zikirudhiana lawama ambPo Rais Emmerson Mnangagwa ameshutumu vyama vya upinzani na nchi za kigeni ...ACT Wazalendo yamteua Membe kuwa Mshauri Mkuu
Chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo kimemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa chama hicho. Taarifa iliyotolewa na kiongozi wa chama, ...