Habari
Somalia yavunja uhusiano wa kidiplomasia na Kenya
Serikali kuu ya Somalia imevunja uhusiano wa kidiplomasia na nchi jirani ya Kenya, baada ya kuvutana na kupisha kwa muda mrefu. Somalia ...Mbunge wa Chalinze aeleza kukerwa na migogoro isiyokwisha
MBUNGE Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameeleza kukerwa kwake na migogoro isiyokwisha baina ya vijiji na vijiji kuhusu mipaka na ile ya ...Waziri afuta likizo za Krismasi na Mwaka Mpya, aagiza mradi ukamilike kwa wakati
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesitisha likizo za sikukuu za Krimasi na mwaka mpya kwa wataalamu wote wanaohusika na ujenzi wa ...Rais Magufuli awalilia waliofariki mkoani Singida
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia za watu 14 waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Disemba ...Serikali yatoa kibali kufungwa ‘cable cars’ Mlima Kilimanjaro
Serikali ya Tanzania imeruhusu ufungwaji wa magari yanayotumia nyanya (cable cars) katika Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika ili kuchochea utalii. ...Binti amshitaki mchumba wake mahakamani kwa kuchelewa kumuoa
Mwanamke raia wa Zambia amemshitaki mchumba wake kwa madai kuwa amesubiri kwa miaka nane amuoe, lakini bado ndoto hiyo haijafanikiwa, gazeti la ...