Habari
Aliyekuwa mtia nia ya Urais Uganda afungwa jela miaka mitatu
Mahakama ya Juu nchini Uganda imemhukumu aliyekuwa mtia nia ya kugombea Urais nchini humo kwa kutumia lugha ya matusi dhidi ya majaji ...Halima Mdee na wenzake waitwa kujieleza
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake 19 walioapishwa jana kuwa wabungr wa Viti Maalum kufika katika makao makuu ya ...CHADEMA: Hatujateua Wabunge wa Viti Maalum
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na hivyo hakuna orodha iliyopelekwa Tume ya ...Rais Mstaafu, Dkt. Shein ateuliwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi tatu, ambapo kwanza amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa ...Wanafunzi 1,050 wafutiwa matokeo darasa la saba
Jumla ya wanafunzi 1,059 kutoka shule 38 wamefutiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020 araza la kutokana na udanganyifu ...Tanzania yakanusha kuwekewa zuio na Umoja wa Ulaya
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji ambaye pia ni Muwakilisha wa Tanzania katika Umoja wa Ulaya (EU), Jestas Nyamanga amekanusha taarifa kuwa EU imeazimia ...