Habari
Rais Magufuli: Mzee Kikwete aliwatwanga marafiki zake akanipitisha mimi
Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimepitisha jina la Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi ...Mzee Mwinyi ataka Rais Magufuli aongezewe muda kuongoza
Rais Mstaafu, Mzee Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa licha ya kuwa nchi inaongozwa kwa katiba, lakini inaweza kubadilishwa endapo itaridhiwa, ambapo amependekeza ...Instagram yafuta ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu uhusiano wa corona na 5G
Mtandao wa Instagram umeufuta ujumbe wa video uliowekwa na Askofu Josephat Gwajima unaoeleza kuwa janga la virusi vya corona lina uhusiano na ...Kwanza Online TV kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa TCRA
Kituo cha Televisheni Mtandaoni (Kwanza Online TV) imesema kuwa itakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wa kukifungia ...