Habari
Wasira: Kaulimbiu ya No Reforms, No Election inakwenda kufikia mwisho
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna mtu au kikundi cha kuzuia uchaguzi huku akiwataka wananchi kutobabaishwa ...CRDB yasema malipo ya bingwa msimu uliopita ilipewa TFF
Benki ya CRDB, ambayo ndiyo mdhamini mkuu wa Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB, imesema malipo yote ya bingwa wa msimu ...Mahakama Kenya yamhukumu kifo mwizi wa simu
Mahakama ya Kibera nchini Kenya imemhukumu Isaac Khanga adhabu mbili za kifo baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ya unyang’anyi ...Simba SC: Dabi iko pale pale
Klabu ya Simba imewataarifu wanachama na wapenzi wa mpira wa miguu kuwa mchezo namba 184 dhidi ya Yanga SC uliopangwa kufanyika Juni ...Yanga yasisitiza ‘Hatuchezi’ baada ya kikao na Bodi ya Ligi Kuu
Klabu ya Yanga imesema imewasilisha msimamo wao kwa Bodi ya Ligi Kuu wa kutoshiriki mchezo dhidi ya Simba SC uliopangwa kufanyika Juni ...Nafasi 321 za Ajira Serikalini
POST: TUTOR II IN ACCOUNTING AND TRANSPORT FINANCE – 1 POSTEmployer: Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)More Details 2025-06-19 Login to Apply POST: TUTORIAL ASSISTANT IN ...









