Habari
Rais Magufuli ateua viongozi wapya ngazi ya wilaya
Rais Dkt. Magufuli amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya mmoja na Mkurugenzi Mtendaji mmoja kama ifuatavyo; Kwanza, amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi ...Waziri Jafo amuondoa Meneja wa TARURA kwa kutokusanya wananchi kushuhudia ukaguzi wa barabara
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) jijini Arusha, Podia ...Rais Magufuli: Marehemu Balozi Lusinde alikuwa mzalendo wa kweli
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amekwenda kutoa pole kwa familia ya Balozi Mstaafu Job Lusinde aliyefariki dunia Julai 7, 2020. Rais Magufuli ...Rais mpya wa Malawi ateua ndugu kuwa mawaziri
Rais mpya wa Malawi amekosolewa vikali kufuatia kuteua watu ambao ni ndugu na watu wake wa karibu katika baraza lake jipya la ...Mzee Butiku: CCM iachane na rushwa kwenye uchaguzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho na yeye ni mwanachama kioneshe mfano kwa kuongoza kupinga ...