Habari
Membe: Nilisimamisha kampeni kutokana na msaidizi wangu kukamatwa
Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe amesema kuwa kukamatwa kwa msaidizi wake ndiyo sababu iliyompelekea yeye kusitisha kufanya kampeni ...Membe atoa wito kwa wagombea na viongozi wa dini kuelekea uchaguzi
Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu wametakuwa kukubali matokeo yatakayotangazwa, kwani hilo ni msingi ...Kenya yaingia awamu ya pili ya maambukizi ya COVID19
Waziri wa Afya wa Kenya ameonya kuwa huenda nchi hiyo ikaingia katika awamu ya pili ya maambukizi ya virusi vya corona kutokana ...TANESCO yaagizwa kutokata umeme kipindi chote cha uchaguzi
Waziri a Nishati Dkt. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha umeme haukatiki katika kipindi chote cha uchaguzi mkuu hususani ...Wagombea wa CCM watakiwa kubadili maudhui ya kampeni zao
Siku mbili baada ya kuzindua awamu ya sita ya kampeni zake, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amewataka ...Maalim Seif afungiwa kufanya kampeni kwa siku tano
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa ...