Habari
Maalim Seif afungiwa kufanya kampeni kwa siku tano
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa ...Mvua yasababisha vifo vya watu 12 Dar es Salaam
Watu 12 wamefariki dunia huku nyumba 107 zikisombwa na maji jijini Dar es salaam kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Oktoba 13 mwaka ...Polisi Uganda wachukua fomu za uteuzi wa kugombea Urais za Bobi Wine
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine amesema kuwa polisi nchini humo wamechukua fomu zake za kuwania kuteuliwa kugombea ...Rwanda yaruhusu kilimo cha bangi
Serikali ya Rwanda imeidhinisha kilimo cha bangi kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi, lakini matumizi yake ndani ya nchi yameendelea kupigwa ...Taarifa ya TMA kuhusu mvua iliyonyesha Dar leo, na utabiri wa kesho
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua iliyonyesha jijini Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Morogoro, Unguja na Pemba imetokana na ...Rais wa Uganda, Yoweri Museveni abadili jina lake
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amebadili jina lake ambapo sasa amejumuisha jina alilokuwa akilitumia utotoni, Tibuhaburwa. Rais Mueveni alisaini hati ya kubadili ...