Habari
NEC yaitangaza kampuni inayochapisha karatasi za kupigia kura za Uchaguzi Mkuu 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo si za kweli kuhusu mchakato wa kumpata mzabuni ...Aliyekuwa Meya wa Ilala amuomba radhi Dkt. Magufuli kwa kumhujumu akiwa UKAWA
Aliyekuwa Diwani wa Vingunguti na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Omar Kumbilamoto amemuomba radhi Dkt. John Magufuli kwa kuihujumu serikali wakati ...Taarifa ya TANAPA kuhusu moto unaowaka Mlima Kilimanjaro
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imesema kuwa moto uliozuka jana eneo la Whona pakupumzikia wageni wanaofanya utalii kwenye Mlima Kilimanjaro unaendelea ...Rais Magufuli atangaza siku tatu za kuombea COVID19 iondoke Kenya
Rais Dkt. Magufuli ambaye pia ni mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amewaomba Watanzania kutumia siku tatu kuanzia leo ...Malawi yaeleza sababu ya Rais Chakwera kukatisha ziara yake Tanzania
Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera aliwasili nchinj Tanzania Jumatano Oktoba 7 mwaka huu kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku ...Mtanzania ateuliwa kuongoza mamlaka ya mapato Sudan Kusini
Raia wa Tanzania, Dkt. Patrick Mugoya ameteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (NRA). Akizungumza na waandishi wa ...