Habari
Rais wa Malawi: Tufanye chaguzi bila waangalizi wa nje
Zikiwa zimebaki siku 20 kufanyika uchaguzi mkuu nchini Tanzania, Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amesema ni muhimu Afrika ikafanya chaguzi zake ...Singapore kuwalipa wananchi ili wazae watoto
Serikali ya Singapore inawalipa wananchi wake katika kuwashawishi kuzaa watoto wakati huu nchi hiyo ikiendelea kukabiliana na janga la virusi vya corona. ...Zitto Kabwe apata ajali mkoani Kigoma
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepata ajali ya gari akiwa njiani akitokea Kata ya Kalya kuelekea Lukoma kwenye kampeni katika ...Rais Magufuli atengua agizo la wizara kuhusu mafunzo ya ualimu
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amefuta agizo lililotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuwa Rais serikali imefuta mafunzo ya ualimu ...Ufafanuzi wa NEC kuhusu adhabu aliyopewa Tundu Lissu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa haijatoa adhabu kwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu bali adhabu hiyo ...Polisi Dar wasitisha kumhoji Tundu Lissu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesitisha barua ya kumuita mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu. Akitoa taarifa hiyo, ...