Habari
Ulega: Rais Samia ameelekeza madeni ya wakandarasi wa ndani yalipwe
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Wizara yake inatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha makandarasi wa ndani wanalipwa ...Waziri Mkuu: Serikali inathamini mchango wa viongozi wa dini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa madhehebu mbalimbali nchini kuzingatia sheri ya uhuru wa kuabudu ili kuepuka uvunjifu wa ...Polisi yakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo
Jeshi la Polisi mkoani Singida limekanusha kumkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53), mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic ...Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na vyuo vya kati
Waziri TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema wanafunzi 149,818 wakiwemo wasichana 76,491 na wavulana 73,327, sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya ...Jinsi mitandao ya kijamii inavyoweza kukusababishia upweke
Katika dunia ya leo yenye mitandao ya kijamii, simu janja, na teknolojia, inaonekana ni rahisi kuwa karibu na watu, lakini jambo la ...Nchi 10 za Afrika zenye wastani wa umri mdogo zaidi wa kuishi
Wengi wetu hatukai tukijiuliza tutaishi kwa muda gani, lakini wastani wa maisha katika nchi una maana zaidi. Ni kiashiria muhimu kinachoonesha jinsi ...









