Habari
Rais mpya wa Burundi avionya vyama vya upinzani, ahoji mantiki ya kuipinga serikali
Rais mpya wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya vyama vya upinzani nchini humo kwamba havitapata nafasi, huku hakihoji ni ipi mantiki ya mtu ...Kenya yachaguliwa kuwa mjumbe kwenye baraza la Umoja wa Mataifa
Kenya imetangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya mjumbe asiye wa kudumu katika Barazala la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) baada ya ...Kenya: Wanafunzi 4,000 wapata mimba miezi 4 iliyopita
Idara ya Watoto katika Kaunti ya Machakos nchini Kenya imeeleza kuwa takribani wanafunzi 4,000 wenye umri chini ya miaka 19 wamepata ujauzito ...Matokeo ya utafiti wa dawa ya Dexamethasona yaleta matumaini kutibu corona
Matokeo ya majaribio ya dawa ya dexamethasone yaliyofanyika nchini Uingereza yameonesha kuwa inaweza kuokoa maisha ya watu walio mahututi wanaougua ugonjwa wa ...