Habari
Taarifa ya TMA kuhusu mvua iliyonyesha Dar leo, na utabiri wa kesho
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua iliyonyesha jijini Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Morogoro, Unguja na Pemba imetokana na ...Rais wa Uganda, Yoweri Museveni abadili jina lake
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amebadili jina lake ambapo sasa amejumuisha jina alilokuwa akilitumia utotoni, Tibuhaburwa. Rais Mueveni alisaini hati ya kubadili ...NEC yaitangaza kampuni inayochapisha karatasi za kupigia kura za Uchaguzi Mkuu 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo si za kweli kuhusu mchakato wa kumpata mzabuni ...Aliyekuwa Meya wa Ilala amuomba radhi Dkt. Magufuli kwa kumhujumu akiwa UKAWA
Aliyekuwa Diwani wa Vingunguti na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Omar Kumbilamoto amemuomba radhi Dkt. John Magufuli kwa kuihujumu serikali wakati ...Taarifa ya TANAPA kuhusu moto unaowaka Mlima Kilimanjaro
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imesema kuwa moto uliozuka jana eneo la Whona pakupumzikia wageni wanaofanya utalii kwenye Mlima Kilimanjaro unaendelea ...Rais Magufuli atangaza siku tatu za kuombea COVID19 iondoke Kenya
Rais Dkt. Magufuli ambaye pia ni mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amewaomba Watanzania kutumia siku tatu kuanzia leo ...