Habari
Waliojiandikisha kupiga kura 2020 wafikia milioni 29
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura imeongezeka ambapo wapiga kura halali kwa mwaka huu ni 29,804,992 ikilinganishwa na ...Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson atangaza kugombea ubunge
Wakati Bunge la 11 likielekea ukingoni tayari kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. ...Serikali: Kuwekeza kwenye vitu ndio kunawezesha maendeleo ya watu
Serikali imesema kuwa nchi haiwezi kupata maendeleo ya watu bila kuwekeza kwenye vitu, ndiyo maana awamu ya tano imewekeza kwenye vitu ikiamini ...Rais Magufuli kuvunja Bunge la 11 kesho
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli anatarajia kulihutubia na kulivunja Bunge la 11 jijini Dodoma kesho ...