Habari
Msajili: Vyama vya siasa haviruhusiwi kuungana ghafla wakati wa uchaguzi
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amesema kuwa vyama vya siasa haviruhusiwi kuungana ghafla wakati wa uchaguzi kwani sheria ya ...Tundu Lissu atakiwa kuripoti kituo cha polisi Kilimanjaro
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ametakiwa kuripoti kituo cha polisi mkoani Kilimanjaro kwa ajil ...Taarifa muhimu kwa waombaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Tanzania
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku 5 kuanzia Oktoba Mosi hadi 5 mwaka huu ...Ukomo wa umri wa Urais Uganda, mahakama yatoa uamuzi
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali pingamizi lililokuwa limefunguliwa dhidi ya muswada wa mabadiliko ya Katiba ya Uganda unaolenga ...Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Mahera atumiwa barua ya vitisho
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Charles Mahera amesema licha ya mafanikio makubwa ambayo taasisi hiyo inajivunia ...Polisi: Tundu Lissu hakuwa na ratiba ya kampeni Tarime
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu madai kuwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu huko Nyamongo mkoani Mara ...