Habari
Mbatia awataka Watanzania kuvikataa vyama vinavyofanya siasa za chuki
Katika kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amewataka Watanzania kuwa makini na vyama vya siasa ...Spika Job Ndugai: Rais Magufuli atake asitike ataongezewa muda Bunge la 12
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa Rais Dkt Magufuli ataongezewa muda wa kukaa madarakani hata kama yeye mwenyewe hataki. ...Tanzia: Rais wa Burundi afariki dunia
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo. Kiongozi huyo ...Mbowe ahamishiwa Dar kwa matibabu zaidi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amewahamishiwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya ...Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ashambuliwa Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo jijini Dodoma. ...