Habari
Shirika la Afya Duniani labadili msimamo wake kuhusu uvaaji wa barakoa
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebadilisha ushauri wake kuhusu uvaaji wa barakoa, ambapo sasa limesisitiza uvaaji (wa barakoa) katika maeneo yenye watu ...Aliyekuwa bosi wa Bohari ya Dawa ashtakiwa kwa utakatishaji wa bilioni 1.6
Waliokuwa vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ...Madagascar: Waziri afukuzwa baada ya kuagiza pipi za bilioni 5
Waziri wa Elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi baada ya mpango wake wa kutaka kununua pipi zenye thamani ya $2.2 milioni (TZS 5.1 ...Rais Magufuli aagiza wanaogawa barakoa zisizothibitishwa wakamatwe
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amewaagiza viongozi katika maeneo mbalimbali nchini kuwakamata na kuwahoji wale wote wanaogawa barakoa kwa wananchi ili waeleze ...